Fahamu Haki Zako: Mwongozo kwa Wazazi Wanaoishi na HIV

Kitabu hiki kiliandikwa kwa ajili ya wazazi au wazazi watarajiwa wanaoishi na HIV, ikiwa ni pamoja na wanawake, wanaume waliobadilisha jinsia na watu wasio na jinsia. Kinalenga kutoa maelezo halisi na kukuza ufahamu kuhusu baadhi ya maeneo muhimu ya wasiwasi ambazo wazazi wanaoishi au walioathiriwa na HIV wanazo.

Know Your Rights: Guide for Parents Living with HIV in Swahili

Author
Topics
Language