Ukatili kwa Wanawake wanaoishi na HIV kutoka kwa wapenzi wao wa karibu: maswali na majibu

Mwongozo huu ni wa wanawake, pamoja na wanawake waliobadilisha jinsia, ambao wanaishi na HIV na ambao wanapitia au wako katika hatari ya kupitia ukatili kutoka kwa wapenzi wao wa karibu. Ukatili kutoka kwa mpenzi wa karibu unaweza kuwa wa kimwili, kihisia, kisaikolojia au unyanyasaji wa kingono kutoka kwa mtu ambaye una au umekuwa na mahusiano ya karibu naye. Dhuluma kutoka kwa mpenzi wa karibu sio mbaya tu – bali ni kinyume cha sheria.

[Women living with HIV and intimate partner violence: Questions & Answers in Swahili]
Author
Topics
Language